Tuesday, December 31, 2013

HUU NDIO MUONEKANO WA AGNES KUONEKANA KWA MARA YA KWANZA KATIKA VIDEO YA TUNDAMANI.....MCHEKI HAPA.!!!



 


Video queen, Agnes Gerad'Masogange'.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Khalid Ramadhani Tundamani anatarajia kumwonyesha kwa mara ya kwanza 'Video queen' Agnes Gerad maarufu Masogange katika video ya wimbo wake wa Msambinungwa.

Akiongea Tundaman alisema ataondoka nchini Januari 5, 2014 kwenda Nairobi kwa ajili ya utengenezaji wa Video hiyo na kwamba ameamua kufanya video hiyo akiwa na Masogange kwani ni msichana anayefanya vizuri katika video nyingi za wasanii pia ana kipaji cha kazi hiyo

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “HUU NDIO MUONEKANO WA AGNES KUONEKANA KWA MARA YA KWANZA KATIKA VIDEO YA TUNDAMANI.....MCHEKI HAPA.!!!”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter