Katika pitapita zangu nimekutana na hii habari katka mitandao "UNYAMA ULIOFANYIKA NDAN YA OPERATION TOKOMEZA"..Nikaona sio vibaya wana MAMBOMSETO kuiona hii video ambayo inasemekana ndio kilichofanyika kwenye hiyo operation tokomeza ambayo watanzania walikua wanafanyiwa ivo na kuperekea mawaziri 4 kupoteza kibarua..

Like Sabibo Camp like Operesheni Tokomeza. Na hii ni just a drop of ice berg...
Hivi unaweza kujiuliza kwenye hizo kambi vingapi hatujavijua vilifanyika? Kama hadi sasa, kwa mujibu wa taarifa ya kamati wanaume walilazimishwa kufanya mapenzi na miti hadi wamalize haja zao na mengine mengi....

Shameful condition...but they should know exactly, no condition is permanent (The State of Africa; A History of Fifty Years of Independence [Martin Meredith].
TAZAMA VIDEO HAPO CHINI
MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.