Tuesday, December 31, 2013

TAZAMA PICHA JINSI DIAMOND ALIVYOWAKOSHA WAKAZI WA LINDI USIKU WA KUAMKIA MWAKA MPYA..!!

 
Katika heka heka za kuaga mwaka 2013 usiku wa kuamkia leo mji wa Lindi ulitikisika baada ya mashabiki kujitokeza kushuhudia onyesho la Msanii nyota wa Muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alipokuwa akitoa burudan kabambe katika Tamasha la kudumisha Amani na Maendeleo lililodhaminiwa na Mbunge wa Jimbo la Mtama,Mhe Bernard Membe na kufanyika katika Uwanja wa Ilulu Manispaa ya Lindi na kutoa burudani ya nguvu ambayo ilizikonga nyoyo za mashabiki waliodhuria
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’akiwapagawisha mashabikiw wake walikuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Ilulu,Mkoani Lindi.
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’sambamba na madansa wake,wakitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wao.
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambae pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe akipokea salamu toka kwa Diamond alipokuwa akitoa salam za mwaka mpya kwa wana Lindi. 
>>Abdulaziz -Lindi

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “ TAZAMA PICHA JINSI DIAMOND ALIVYOWAKOSHA WAKAZI WA LINDI USIKU WA KUAMKIA MWAKA MPYA..!! ”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter