Wednesday, January 1, 2014

MCHEZA SHOO MAARUFU AKILI UKIMWI KUWATEKETEZA, ASEMA MAPEDESHEE WENGI MJINI WAMEARHIRIKA GONJWA HILO NOMA DUNIANI..!





HII ni hatari. Wakati ugonjwa wa Ukimwi ukielezwa kuwa bado hauna tiba, mcheza shoo maarufu katika bendi za muziki wa dansi nchini, Titi Mwinyi ameibuka na kudai kuwa wasichana hao wana wakati mgumu kukwepa vishawishi kutoka kwa watu wenye fedha, maarufu kama Mapedeshee.

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “ MCHEZA SHOO MAARUFU AKILI UKIMWI KUWATEKETEZA, ASEMA MAPEDESHEE WENGI MJINI WAMEARHIRIKA GONJWA HILO NOMA DUNIANI..! ”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter