Thursday, December 26, 2013

BREAKING NEWSS Baada ya kumtema Penny...Diamond amtangaza rasmi Wema Sepetu kuwa ni Mchumba wake...SOMA ZAIDI HAPA USIONDOKE..BILA KULIKE PAGE YETU MDAU


Tukio hilo lilitokea  jana pale Leaders club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo....
 
Kwenye hiyo show, Diamond aliuliza,”Mnataka kumjua mchumba wangu”? Show ilivyoendelea Diamond alitaka kuimba wimbo wa "ukimwona" akasema:
 “Nasikia ninayetaka kumuimbia wimbo huu yupo humuhumu ndani”.
 
Baada  ya  kauli  hiyo, Wema Sepetu alipanda kwenye stage kisha wakakumbatiana  na kucheza wote.
994992_654719497904805_1370630389_n
379719_654725334570888_100223854_n

1499625_654740321236056_1133727884_n 

>>Millard Ayo

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “BREAKING NEWSS Baada ya kumtema Penny...Diamond amtangaza rasmi Wema Sepetu kuwa ni Mchumba wake...SOMA ZAIDI HAPA USIONDOKE..BILA KULIKE PAGE YETU MDAU”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter