Thursday, December 26, 2013

MKE WANGU ANANIPANGIA RATIBA ZA KUFANYA NAE MAPENZI...!! USHAURI JAMANI NIFANYEJE..


Habari yako Mambomseto news BLOG..
Mimi ni Kijana wa miaka 29 , Nimeoa miaka mitatu iliopita , kabla sijaoa nilikuwa najua nikishaoa na kuwa na mke wangu ndani issue ya matamanio ya kimwili itakuwa hainisumbui kwa kuwa nitakuwa na mke ndani kila nikitaka kitu napata, lakini imekuwa kinyume na nilivyofikiria..kwani nimekuwa mtumwa mke wangu ananipangia siku gani tufanye mapenzi kwa week mara 2 tu , siku zingine hataki kufanya chochote na mimi na nikilazimisha tunagombana na kutishia kuniacha...

jamani hii ni sawa ?
je nifanyaje? ama nitafute demu wa nje?
 

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “MKE WANGU ANANIPANGIA RATIBA ZA KUFANYA NAE MAPENZI...!! USHAURI JAMANI NIFANYEJE..”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter