Wednesday, December 25, 2013

MTOTO WA MIAKA 8 ANUSURIKA KULAWITIWA MARA BAADA YA KUAHIDIWA PIPI...!! HII NI LAANA..

 

Huyu ni mtoto Julius mwenye umri wa miaka 8, alikuwa nyumbani wakati wazazi wake wote wakiwa hawapo, Alikuwa yeye na kaka yake mwenye umri wa miaka 12.Ndipo swahibu lilipomkuta mpaka kufanya aumizwe kiasi hiki 
 
 Sura ya mtoto imefichwa kutokana na maadili


 Huyu ndio mtuhumiwa.
Alifika Nyumbani na kumlaghai mtoto Julius kwa pipi na kumuita uncle, uncle Akamvuta mpaka vichakani na kutaka kuanza kumlawiti
Mtoto alipoona hivyo akaanza kupiga kelele na kupambana na mtuhumiwa
Muasi alikuwa tayari ameshavua nguo, alipoona mtoto anapiga kelele akaanza kumng'ata na meno mashavuni
Na kumpiga na jiwe kwenye paji la uso.
Bahati nzuri, MUNGU saidia, kuna mama alikuwa anashusha matofali akaskia kelele hizo kabla ya tendo baya kufanyika.
Akaita watu wakamkuta mtuhumiwa akiwa anaendelea kujaribu kumlawiti mtoto huyo wa kiume
Alifanikiwa kumwaga haja zake tu, ila hakufanikiwa kumuingia kimwili
Watu wenye hasira walimpa adhabu yake na yeye, kabla Police hawajafika na kumtia mbaroni



Inasemekana kuwa mtuhumiwa huyu ndio tabia yake, ila hii ndio ilikuwa arobaini yake
Mitaa ya Mbezi ya Kimara, amezunguka sana kuharibu watoto wa watu.
Kila Nyumba akifika anauliza baba na mama wapo?? akiambiwa tu hawapo anaanza shughuli zake
Hivi sasa yuko Hospitali ya TUMBI mahututi, akingojea kusomewa mashtaka
Kama kuna lolote la ziada tutaendelea kufahamishana.
Anaonekana pia kuwa ni shabiki wa Manchester United, Mashetani wekundu
Au labda kajivalia tu t-shirt tu na maushamba yake, mimi nimeudhika sana sijui wewe msomaji
Kama atapona, maana kipigo alichopata sio cha kitoto

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “MTOTO WA MIAKA 8 ANUSURIKA KULAWITIWA MARA BAADA YA KUAHIDIWA PIPI...!! HII NI LAANA.. ”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter