Wednesday, December 25, 2013

Mwakyembe afanya Ukaguzi wa Nauli za mabasi ya Mikoani kipindi hiki cha Msimu wa Sikukuu..!!

Kuelekea kusheherekea sikukuu za Xmass na Mwaka Mpya Waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakembe amefanya ukaguzi wa tiketi kwa mabasi mbalimbali yaendayo mikoani ilikubaini mabasi yaliyo toza gharama kubwa za nauli katika kipindi hiki cha Xmass na mwaka mpya.
Baadhi ya mabasi yaliyokamatwa kwa makosa ya kuzidisha nauli aliamuru kurudishiwa nauli zilizozidi kwa abiria wao,zoezi hilo limefanyika alfajiri eneo la Visiga mkoa wa Pwani,kurudishiwa nauli kwa abiria kumeenda sambamba na faini ya shilingi laki mbili na nusu kwa kila basi lililofanya kosa hilo.

mpya.

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “Mwakyembe afanya Ukaguzi wa Nauli za mabasi ya Mikoani kipindi hiki cha Msimu wa Sikukuu..!!”

Post a Comment

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter