


Mwanamziki kutoka kenya anayefanya vizuri anayejulikana kama Jackson Makini kwa jina maarafu kama Prezzo hivi karibu ametinga Tanzania na kukutana na mashemeji zake kwa ajili ya kuandaa ndoa yao,pichani hapo juu ni mashemeji
zake.Licha ya hivyo msemaji wa familia amethibisha hayo kwa kusema
"According to our source,a family member,"Prez is not joking about this,this lady completely won his heart and Kenya in fact East Africa should be ready for talk of town wedding,can't disclose full details but take my word this wedding will turn necks and break hearts"
MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.