
Ni mmoja kati ya Wachekeshaji maarufu Tanzania lakini bado kipaji chake hakijatumiwa vizuri kumpa mkwanja angalau wa kuishi vizuri kama wanavyoishi baadhi ya Wachekeshaji wenzake hapa Tanzania.
Umaarufu wake umetokana na kuigiza sauti za watu mbalimbali maarufu kama anavyofanya hapa chini kwenye hii sauti akiwaigiza Mzee Ally Hassan Mwinyi, Rais Obama, Muammar Gaddafi, Bambo, Masako wa ITV, Bibi Kidude, Pacho Mwamba na wengine.
MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.