Wednesday, January 8, 2014

AIBUUU.(+18).!!MWANADADA ATIMUA MBIO AKIWA NUSU UCHI BAADA YA KUFUMANIWA AKINGONOKA NA MCHUMBA WA JIRANI YAKE...JIONEE MWENYEWE HAPA

HATARI SANA HII...Jamaa aliyekuwa akija nyumba hiyo mitaa ya Kinondoni studio kumuona mchumba ake ,  alifika leo mida ya jioni na kukuta mchumba ake huyo hayupo alikutana na jirani yani chumba cha jirani na kumkaribisha ili amsubiri mchumba ake huyo aliyeambiwa ametoka kidogo ila atarudi.



Alipoingia chumba hicho cha jirani, kumbe yule msichana alikuwa anamtamani jamaa siku nyingi, alianza kumtega na mwisho wakaishia kufanya mapenzi wakati wakiwa kwenye tukio yule mchumba ake akawa ameshafika na kuambiwa kuwa jamaa yuko kwa jirani kabla ya kugonga mlango alisikia sauti za mahaba mara akaanza kuita watu wamsaidie yule mwanamke kule ndani alifungua mlango na kuchoropoka akiwa na chupi tu..!!  

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “AIBUUU.(+18).!!MWANADADA ATIMUA MBIO AKIWA NUSU UCHI BAADA YA KUFUMANIWA AKINGONOKA NA MCHUMBA WA JIRANI YAKE...JIONEE MWENYEWE HAPA”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter