Taarifa zilizofika hivi sasa zinahusu ajali ya basi liligongana na lori huko Mikumi Morogoro.
Basi hilo limetajwa kuwa ni Taqwa mashuhuda wanasema basi hilo lilijaribu ku-over take hilo lori.
Hadi sasa wamefariki watu watatu ambapo wanawake ni wawili na mwanaume ni mmoja
MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.