Saturday, January 11, 2014

BREAKING NEWS: WAZIRI MKUU WA ISRAEL ARIEL SHARON AFARIKI


Waziri Mkuu wa Zamani, Ariel Sharon Amefariki dunia HIV PUNDE katika hospitali alikokuwa amelazwa kwa muda mrefu kwa matibabu ya kiarusi.  


Aliyekuwa waziri Mkuu wa Israel, Ariel Sharon amefariki akiwa na umri wa miaka 85.


Alikuwa katika hali ya umahututi kwa miaka nane tangu mwaka 2006.

habari zaidi zitawajia hivi punde!!!

-bbc

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “BREAKING NEWS: WAZIRI MKUU WA ISRAEL ARIEL SHARON AFARIKI”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter