Diamond alidondoka kwenye Exclusive interview ya XXL ya Clouds FM na kuyajibu maswali ya Raymond Mshana ambae ndio alikua anaifanya XXL kwa siku hii ya January 6 2014.
Kwenye show ya Xmas Diamond alifanya show yake kwa ajili ya watoto Leaders Dar es salaam ambapo baadae vyombo vya habari vilimkariri akitangaza
kwamba Wema Sepetu ndio mpenzi wake wa sasa.
Kwenye XXL Diamond amekwepa kulijibu hilo swali ila akamzungumzia Wema na uwepo wake pamoja na movie yake ambayo wamecheza pamoja na inatarajiwa kutoka mwaka huuhuu wa 2014.
Maelezo zaidi kuhusu alichosema yako kwenye hii video ya dakika tatu hapa chini. VIDEO HII HAPA CHINI:
MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.