Baada ya mashabiki kuomba sana Snura kuimba wimbo wa taarabu sasa ameamua kusikiliza vilio vya mashabiki wake na nakutoa wimbo mmoja wa taarabu na kusema asante kwa mashabiki wake wimbo huo unaitwa "Uko nyuma Sana" - kinanda kimepigwa na Thabit Abdul na aliyepiga gitaa ni Jumanne Ulaya au j4.Usikilize hapa
MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.