Timu nzima ya mtandao huu inapenda kuwatakia heri ya mwaka mpya wasomaji wetu wote popote walipo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla....
Moyo usio na shukrani hukausha baraka zote, hivyo kwa moyo mkunjufu kabisa, MAMBOMSETONEWS BLOG inapenda kutoa shukrani zake za dhati kwako wewe msomaji wetu kwa sapoti yako kubwa uliyotupa mwaka 2013 na kutufanya kuwa miongoni mwa mitandao bora kabisa nchini Tanzania. Kwa kweli tunawashukru sana, Mwenyezi Mungu muumba wa vyote awabariki sana.
Tunawatakia kila la kheri katika Mwaka huu mpya wa 2014
MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.