Tuesday, January 7, 2014

HIZI NDIZO PICHA ZA AJABU ZA MPENZI WA MWANAMUZIKI D'BANJ ZILIYOZUA GUMZO BAADA YA KUIACHIA MTANDAONI.


Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Dapo Daniel Oyebanjo maarufu kama D'banj ambaye siku za hivi ameingia mkataba mnono na kampuni ya Sony Entertainment Africa ametengena na Mchuchu wake wa muda mrefu kidogo Jennifer Obayuwana na kuanzisha mahusiano mapya na mrembo mpya Yaris Sanchez ambaye akatupia picha za Mitego huko Twitter.







MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “HIZI NDIZO PICHA ZA AJABU ZA MPENZI WA MWANAMUZIKI D'BANJ ZILIYOZUA GUMZO BAADA YA KUIACHIA MTANDAONI. ”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter