Hii inashangaza sana, na mama huyu ameamua kufunguka kutokana NA hali hii inayomtatiza kwa sababu kweli anahitaji msaada.Hili ni chozi lake... Mimi ni nesi pia ni mama mwenye mtoto na ni mke wa mtu.
Huwa nalowa na wakati mwengine kuja kabisa
wakati ninapokuwa namnyonyesha mtoto wangu mwenye miezi 7 ambaye ni wa kwanza kumzaa. Anaponyonya maziwa yangu... gosh! Nini kinaendelea kwangu? Je kuna wamama wengine ambao wanahisia kama za kwangu? Nini naweza kufanya kuifanya hali hii isiendelee?
MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.