Wednesday, January 1, 2014

HII NDIO HISTORIA FUPI YA WAZIRI WA FEDHA WA TANZANIA ALIYEFARIKI JANA

HISTORIA fupi ya Waziri wa Fedha wa Tanzania, Dr. William Mgimwa aliyefariki dunia nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kwa matibabu. 

Kuzaliwa: Januari 20, 1950 Kalenga Iringa.

Elimu: 
1966 - 1967 Shule ya Msingi Tosa 

1961 -1965 Shule ya Msingi Wasa 

1970-1971 Seminari ya Mafinga 

1968 - 1969 Tosamaganga Sekondari 

1975 - 1984 Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) - Postgraduate in Finance 

1989 - 1991 IDM Mzumbe (MBA - Finance) 


Ajira 
1981 - 2000 - NBC Ltd (Mhasibu, Mhadhiri, Mkurugenzi, Mkurugenzi Mkuu) 

2000 - 2010 - Chuo cha Benki Kuu ya Tanzania Mwanza (Mkuu wa Chuo) 

2010 - 2013 - Mbunge, Kalenga (CCM) 
Kufariki: Januari 1, 2014

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “HII NDIO HISTORIA FUPI YA WAZIRI WA FEDHA WA TANZANIA ALIYEFARIKI JANA”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter