Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete (kulia) Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya leo.
**
Hii ndo Rasimu ya Pili ya Katiba mpya iliyokabidhiwa kwa Rais Kikwete leo...Nimejitahidi kuikuza ili iweze kusomeka vizuri....
**
Hii ndo Rasimu ya Pili ya Katiba mpya iliyokabidhiwa kwa Rais Kikwete leo...Nimejitahidi kuikuza ili iweze kusomeka vizuri....
Rasimu hii ni ndefu kidogo, ina ibara 271 ikilinganishwa na ile ya kwanza ambayo ilikuwa na ibara 240...
Rasimu iko hapo chini, ukipabofya itafunguka kwenye tab mpya ili uweze kuisoma vizuri....Upande wa juu kushoto kuna option ya kui download....
Bofya hapo juu uisome rasimu ya pili ya katiba
MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.