Tuesday, December 24, 2013

HUYU NDIYE BINTI WA KITANZANIA ANAYEUZA UCHI WAKE KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM...CHECKI HABARI HII NA PICHA ZAKE ZA AIBU

Katika pitapita zangu huko Instagram nikakutana na hii..huyu dada kafungua account hii na kwenye profile yake kajieleza kama kwenye picha inavyoonekana hapo juu..

Kilichonishangaza ni kwamba anadai yeye ni modo lakini picha alizoweka zimepitiliza hata kwenye huo umodo yaani kajianika mtupuu!

3

Kwa maelezo yake yeye ni mtanzania sasa bado nashangaa tamaduni zetu hatuna utaratibu wa kujianika kimauzo namna hii jamani hii si biashara inatafutwa kinguvu maana na namba za simu kaweka!!

Kingine anadai ni mama wa mtoto mmoja..kama ni kweli ni mama ina maana hafikirii mtoto wake siku za usoni akikumbana na picha za mama yake mtupu hivi atajisikiaje na kujifunza nini? Hivi tunatengeneza kizazi cha aina gani? Jamani kina dada tubadilike tunajirahisha sana

                                << (( BOFYA HAPA UMUONE ))>>

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “HUYU NDIYE BINTI WA KITANZANIA ANAYEUZA UCHI WAKE KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM...CHECKI HABARI HII NA PICHA ZAKE ZA AIBU ”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter