ANAITWA Sarah Massey mama wa watoto wawili mkazi wa Chicago nchini Marekani, amejitokeza kama mwanamke mwenye umbo kubwa zaidi sehemu ya makalio.

Sarah ambaye amewahi kuvunja choo mara tu baada ya kukikalia, ana mzunguko wa futi 7 ambapo mara kadhaa amekuwa akipata shida kupita mlangoni.
Hata hivyo mwanamama huyu mwenye umri wa miaka 33 anasema anajivunia kuwa mmoja wa wanawake wenye ‘figa’ la kufa mtu hapa ulimwenguni.



MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.