Tuesday, December 24, 2013

Wastara awaomba mashabiki kuungana naye makaburini Kisutu kwaajili ya dua ya Sajuki siku ya December 28..!!

Msanii wa filamu, Wastara Juma amewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kuungana naye siku ya tarehe 28 December 2013 saa tatu asubuhi makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kwaajili ya kufanya dua maalum ya Sajuki
Wastara ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Facebook.


28 Jumamosi kuanzia saa 3 asubuhi naomba mashabiki wangu na wapenzi wa kipenzi changu kipenzi chenu Sajuki tukutane kaburini kisutu kwa ajili ya dua ya pamoja…kwa Dar es salaam lakini dua rasmi ni 2.01.2014 Songea"..aliandikaWastara.

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “Wastara awaomba mashabiki kuungana naye makaburini Kisutu kwaajili ya dua ya Sajuki siku ya December 28..!!”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter