![]() |
Agnes Jerald ‘Masogange’. |
Akizungumza na paparazi wetu, Agnes ambaye hivi sasa amejiingiza kwenye soko la filamu, alisema anaogopa sana kuingia kwenye uhusiano na mume wa mtu ndiyo maana anaona bora aendelee na mpenzi wake wa siku zote kuepuka uhasama.
“Sina tabia ya kushobokea kabisa waume za watu, bora niendelee na mtu wangu wa siku
zote na kama tukishindwana 

bora nitafute mwingine lakini awe wangu peke yangu,” alisema
MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.