Wednesday, January 8, 2014

TAZAMA PICHA ZA AJALI MBAYA YA GARI AMBAYO MSANII FALLY IPUPA AMEPONEA CHUPUCHUPU KUFA KWENYE AJALI HIYO..!!

Msanii maarufu nchini Congo Fally Ipupa amenusulika kufa baada ya kupata ajali mbaya ya gari majira ya usiku wa tarehe 7/1/2014, Hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo ila kuna mama ambae unamuona kwenye picha hapo chini aliumia vibaya sana na kukimbizwa hoptitali ambapo anapata matibabu mpaka sasa





Picha na Voice of Congo

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “ TAZAMA PICHA ZA AJALI MBAYA YA GARI AMBAYO MSANII FALLY IPUPA AMEPONEA CHUPUCHUPU KUFA KWENYE AJALI HIYO..!! ”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter