Saturday, January 11, 2014

JE, NI KWELI LULU ANACHUKIWA NA BABA KANUMBA?!...MUHUSIKA HUYU HAPA ANAFUNGUKA...!FUATILIA ZAIDI HAPA

LULU MICHAEL
BABA KANUM
January 7 2014 ilitoka stori ya mwigizaji Lulu ikihusu alichokiandika kwenye page yake ya instagram ambacho ndio hiki hapa chini, ilikua ni siku ya kuzaliwa ya Mama wa marehemu Steven Kanumba.


 Baada ya kuandika hayo maneno Lulu aliambatanisha na hizi picha hapa chini..


Sio kitu kigeni kwa yeyote anaefatilia stori za Tanzania kwenye mitandao na Magazeti, stori ambazo zimekua zikiendelea kuandikwa kwenye baadhi ya vyombo hivyo vya habari huku vingine vikithubutu kumkariri Baba Kanumba, ni kuhusu maneno mabaya na ya chuki ambayo yamekua yakidaiwa kutolewa na mzee huyu kuhusu Lulu.
Kama umewahi kusoma chochote kibaya kilichosemwa na Baba Kanumba kuhusu Lulu, anapenda uyajue haya anayosema kupitia Exclusive interview na chanzo chetu.  

Mimi Lulu sijamchukia… tangu zamani wananiuliza nasema sina ugomvi na Lulu kwa sababu walikua watu wawili, walikua wapenzi wawili….. hatuwezi kuingilia watu walikua chumbani utajuaje nani kamuanza mwenzake? alafu wakiniingiza mimi kwamba namchukia Lulu.. hata siku moja sijawahi kumzungumzia, hao watu walipakazia na ni waongo…. siwezi kumchukia Lulu wala kumjadili’ – Baba Kanumba

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “JE, NI KWELI LULU ANACHUKIWA NA BABA KANUMBA?!...MUHUSIKA HUYU HAPA ANAFUNGUKA...!FUATILIA ZAIDI HAPA ”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter