UKISIKIA watu wanasema pombe si chai, ujue hawatanii. Mzee mmoja aliyefahamika kwa jina la Uledi, mkazi wa Mbagala Machinjioni, eneo lililo jirani na Kambi ya Jeshi, hivi karibuni aliumbuka vibaya, baada ya kufakamia vinywaji vya ofa kwa pupa na kujikuta akijisaidia haja kubwa hadharani.Kwa mujibu wa shuhuda wetu, Uledi, ambaye ni baba mwenye nyumba maeneo hayo
MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.