Thursday, January 9, 2014

BUS LA MTEI LA CHOMWA MOTO NA WANANCHI BAADA YA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WATATU KWA KUWAGONGA























Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa ya Amani Tanzania ila watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi mikonon.Leo asubuhi bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia panda mnadani singida baada ya bus ilo kugonga pikipiki yani bodaboda na kuua watu watatu Hapohapo.

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “BUS LA MTEI LA CHOMWA MOTO NA WANANCHI BAADA YA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WATATU KWA KUWAGONGA”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter