Saturday, January 11, 2014

Wasichana wanafunzi wananichanganya sana CJUE NIFANYAJE???


Habari zenu MAMBOMSETO SITE naomba ufiche jina langu.
 mimi ni mvulana miaka 20, nafanya kazi. Tatizo ambalo nakabiliwa nalo ni kuwapenda wasichana ambao ni wanafunzi. Nasema hili ni tatizo kwa sababu hisia zangu za mapenzi haziko kwa wasichana wa kawaida mtaani. Mimi Anko nikiwaona wasichana hasa wakiwa na sare yaani nachanganyikiwa kabisa. Naomba ushauri wenu wadau wa mambomseto site.

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “Wasichana wanafunzi wananichanganya sana CJUE NIFANYAJE???”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter