Thursday, January 16, 2014

WATAALAMU WA MAMBO WANAKWAMBIA HIZI NDIZO SABABU ZA DIAMOND PLATNUMZ KURUDIANA NA WEMA SEPETU

When the president wa wasafi classic meet his  first lady wema sepetu kila kitu seems to go as planned and fans expectations huwa zipo high.Diamond seem to be well atleast when he is with Wema,and fans wa hawa celebrity hapa bongo huwa siku zoke hukaa mkao wa kula kusikilizia suprises  zozote  watakazotoka nazo ,wakati haukupita sana toka wamerudiana na kuweza ku-post on I.G(instagram) some private moment wakiwa pamoja,fans wengi hupenda hii couple.

wema-sepetu-akiwa-kitandani-na-diamond-platnumz-copyright-www-vibe-co-tz-web

This is known to be most popular celeb couple of all time ambayo imeweza kutokea na ikitokea kuwa mambo yameenda kushoto kidogo,the news do tend to travel fast na huwa inatokea mlipuko wa habari kuhusu wawili hao when they do fall apart kitu ambacho ni sawa na pale wanapoamua kurudiana,huwa ni news ya wiki nzima hapa Bongo na kushangaza zaidi ni east africa nzima huwa inaongelea hii couple,hii inaongeza popularity kwao as celebs na hivyo hata mtu mgeni aliyeingia hapa TZ huwa yuko curious kuulizia about the life of this two Celebz and we all know that popularity means business these days.

Jina la Diamond Platmus mbali ya kuwa popular in music industry,limekuwa jina ambalo vijana wengi hapa nchini wamekuwa na mtu wakumuangalia na kila mtu kutaka kuwa kama yeye,the way anavyo dress,anavyo nyoa na hata pozz tu sawa na wema sepetu kila mtu amekuwa anamu-admire kwa jinsi tu alivyo especialy young ladies,unaweza kusema wawili hawa ndio moja ya most influencial couples wa hapa bongo,its like brad pit na Jolie wa hapa Bongo.

diamond_wema-620x330

They say Celeb couple huwa hawawezi kukaa katika relation muda mrefu,this is one of the reason Diamond and Wema ya ku-date ili waweze kuwa-prove wrong watu wengi wanaoamini huo msemo,mbali ya kuachana na nakurudiana mara kwa mara wawili hawa wamekuwa na drama zakutosha,as celebz they always do ila kwa hawa inaoneana kama bado mapenzi yao yapo pale pale no matter how many times they broke up,the record says they are back together and its official now.

diamond-wema


MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “WATAALAMU WA MAMBO WANAKWAMBIA HIZI NDIZO SABABU ZA DIAMOND PLATNUMZ KURUDIANA NA WEMA SEPETU ”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter