Saturday, January 11, 2014

HUU NDO MWONEKANO MPYA WA LULU KWA MWAKA 2014







Mwanadada maarufu kwa jina Hottest Elizabeth Michael {HotLulu} ameamua kubadilisha muonekano wake baada ya kudumu na mazoezi kwa siku kadhaa zilizo pita, baada ya hayo mazoezi na haya ndo majibu yake na ndio muonekano wake mpya wa kuanzia mwaka 2014....Zifuatazo ni baadhi ya picha za muonekano wake mpya amabazo alizipost kupitia mtandao wa kijamii wa instagramu huku akiwa amesema maneno yafuatayo

MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “HUU NDO MWONEKANO MPYA WA LULU KWA MWAKA 2014”

Post a Comment

 

Mambomseto Blog Copyright © 2011 -- Template created by SKENDO TEAM -- Powered by SKENDO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter